Hakuna Lisilowezekana Kwa Mungu
Luka 1:37
Ungana nasi upate kuona nguvu ya Mungu katika maisha yako.

Tunaamini
Mungu anaweza kufanya yote.

Kauli Mbiu
Hakuna lisilowezekana kwa Mungu.

Lengo
Kusambaza neno la Mungu duniani.

Sisi Ni Nani
BCIC Maji Meupe (Biblical Counselling and Intercession centre) ni kanisa lililo chini ya Wapo Mission International linalotoa maombi na ushauri wa kibiblia ili kuleta mabadiliko kwenye jamii. Shirika letu limesajiliwa nchini Tanzania na linatambulika na vyombo vya dola na mashirika mbalimbali. Pia linaendesha vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo Wapo Radio FM 98.1, Wapo TV, gazeti msemakweli na shule Shalom Pre and Primary School.
Kanisa la BCIC maji meupe limejikita kuwahudumia watu kutatua matatizo ya kiuchumi, kiafya, kifamilia, kiroho na kijamii kwa misingi ya neno la Mungu (Bibilia).



Wachungaji Wetu
Tuna Jopo la Wachungaji waliojazwa Roho Mtakatifu na wako tayari kukutumikia
Watenda Kazi
Matukio Yajayo
Ibada Zetu
IBADA YA KINGEREZA
Pia ni Ibada ya Vijana na Wanachuo
- Jumapili
- Saa 1 mpaka 2½ Asubuhi
IBADA KUU
Maombi, Kusifu na Kuabudu
- Jumapili
- Saa 3 mpaka 7½ mchana
IBADA KATIKATI YA WIKI
Maombi, Kusifu na Kuabudu
- Jumanne na Alhamisi
- Saa 10 mpaka 12 jioni
Mahubiri Yetu
Jamii Na Mengineyo
Wasiliana Nasi
Kwa maswali na taarifa zaidi, wasiliana nasi kupitia;
- Mbagala Maji Matitu
- +255 677 601 000
- info@bcicmajimeupe.org
- +255 677 601 000